Toyota Rush, Toyota Rav 4 or Murano

binti miss

Member
Jul 29, 2017
91
169
Guys I want to buy a car by next month or October nina budget ya 23mil which car should I go for between those three?

Pls ushauri which is the best car kulingana na hali ya uchumi ya sasa. Kwa mfano mimi kwa mwezi gari nitakayoinunua nimeiandalia budget ya mafuta ya laki 3 kwa mwezi pamoja na gharama zingine za hapa na pale, the place I live mpaka kazini ni 2.5km only.
 
hapo chukua Toyota rush ina injini ndogo na ulaji wake wa mafuta ni kidogo Sanaa ila haipo comfortable na stable barabarani kama ilivyo rav 4 au murano
- kwa budget ya mil 23 ikinunua rush chenji inarud na unapata gari ambayo ni fuel economy.
- Usijaribu kununua Nissan murano UTAJUTA, narudia tena usijaribu kununua nissan murano UTAJUTA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimependa msisitizo wako
 
Ya mwaka upi? Sababu Murano ya 2016 zipo poa sana na Rav 4 ya 2016 pia zipo poa na Toyota rush kuanzia 2013 mpaka 2016 zipo vizuri tu. Mimi ninaona Murano ya 2016 ipo safi kabisa
Sasa ndugu kwa mil 23 hizo hazishikiki

-callmeGhost
 
Guys I want to buy a car by next month or October nina budget ya 23mil which car should I go for between those three?

Pls ushauri which is the best car kulingana na hali ya uchumi ya sasa. Kwa mfano mimi kwa mwezi gari nitakayoinunua nimeiandalia budget ya mafuta ya laki 3 kwa mwezi pamoja na gharama zingine za hapa na pale, the place I live mpaka kazini ni 2.5km only.
Kama mafuta budget laki 3 na huna mitoko ya ovyo ya shopping sijui kununua vocha kwa Mangi, Chukua Rav4. Leme me be more detailed.

Why Rush? Inakula mafuta kama ist, alafu lipo juu. Kama unakaa mitaa yetu hii ya usinishushe ununio you will need it. Good ground clearance kwa engine yake. Pia kwa mtazamo wangu, kina sura nzuri, mi naliona kama mdogo wake Toyota Fortuner. It has that aggressive look.

Why Rav4? I will be biased but najua wengi mtakubaliana na Mimi. Kwanza hili gari nimekua lipo uwani. Unstoppable vehicle. Nazungumzia old shape tho. But nahisi modern ones wameinnovate even more to be better. Lina kamua mafuta ila its worth it, utaenda nalo village kumsalimia babu bila shida. Spare kibao tofauti na Rush, Rush mpya bongo. Its stable, suspension yake iko poa kuliko Rush. Rush jebamba, hata kwenye corners ukiwa high-speed unasikia kama unataka kunyanyua matairi ya upande mmoja. It has good space, if you have a family(friends). Hapa uwani kwa sasa lipo old shape, it runs strong nafikiria mpaka wajukuu wataendesha.

Kay for Murano nitasema hivi; Why not Nissan Murano? Because its a freaking Nissan. Spare bei, mafuta inakula kama Prado, mafundi bongo Bahati mbaya. Kwa muonekano yes, mengine aisee halifai. Bora nijitose ninunue Range Rover sport.

Conclusion:
Nje ya mada, kuanzia 5'6 duh, sisi wa 5'3 hatupo ? Back to the topic. Ushauri wangu, kama unataka gari la all terrain, na una uhakika wa mafuta. Take that Rav4. Kwa 23m I bet unacheza na Killi Time na zile za toleo la tatu. All which are good. Toleo la tatu limekaa kama sister wake Land Cruiser . Kuna mdau alishauri Vanguard... Hili linafanana na Rav4 third edition, tho much bigger na bei imesimama. Kama hela ipo, chukua hilo. I have a thing for big cars. Mbali na hayo, hongera kwa kuwa na mpango wa kununua gari.

-callmeGhost
 
Ya mwaka upi? Sababu Murano ya 2016 zipo poa sana na Rav 4 ya 2016 pia zipo poa na Toyota rush kuanzia 2013 mpaka 2016 zipo vizuri tu. Mimi ninaona Murano ya 2016 ipo safi kabisa
Unapozungumzia ya "2016" uwe unazingatia na hela ya magufuli baada ya meli kukushushia mzigo wako bandarini pale. Nadhani umejisahaulisha hilo!!!
 
Chukua rav 4....ina room kubwa, perfomance standard, imara, 4WD, spare zipo nyingi sana na ni bei nafuu tena unapata option ya kuweka feki au original:p. Fuel consumption ni afadhali kuliko murrano. Buy a Toyota utaenjoy maisha kwa unafuu wake. Rush sio gari ya kusema ni uhakika kwa safari yoyote ni sawa na kuitesa. ila kwa matumizi yamjini na kujiamini na hali ya mazingira unayoishi rush ni safi kwasabab hainywi mafuta kabisa
 
Back
Top Bottom