Osaba JF-Expert Member Apr 10, 2011 1,937 772 Aug 18, 2017 #21 Chukua Rav 4 kilitime yenye injini ya vvt-i ya 1ZZ iko vizuri sana na ulaji wake wa mafuta uko poa sana Sent from my Iphone 6 Plus using JamiiForums mobile app
Chukua Rav 4 kilitime yenye injini ya vvt-i ya 1ZZ iko vizuri sana na ulaji wake wa mafuta uko poa sana Sent from my Iphone 6 Plus using JamiiForums mobile app
M maharage ya nazi JF-Expert Member Feb 7, 2012 344 229 Aug 28, 2017 #23 Chukua Toyota Rush. Hela 23m itabaki, mafuta kazini max kwa mwezi 120000, hivyo change itabaki. Safari inaenda. 4wd inayo. All the best.
Chukua Toyota Rush. Hela 23m itabaki, mafuta kazini max kwa mwezi 120000, hivyo change itabaki. Safari inaenda. 4wd inayo. All the best.
ngoma ya ukae JF-Expert Member Feb 8, 2017 611 617 Aug 28, 2017 #24 Mimi nauza defender pick up ina rangi nyeupe , faida yake hakuna wa kukusimamisha barabarani. Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nauza defender pick up ina rangi nyeupe , faida yake hakuna wa kukusimamisha barabarani. Sent using Jamii Forums mobile app
N Ntu JF-Expert Member Sep 9, 2011 951 552 Mar 23, 2018 #25 ngoma ya ukae said: Mimi nauza defender pick up ina rangi nyeupe , faida yake hakuna wa kukusimamisha barabarani. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mkuu hii gari bado ipo? Weka picha na details. Naiitaji.
ngoma ya ukae said: Mimi nauza defender pick up ina rangi nyeupe , faida yake hakuna wa kukusimamisha barabarani. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mkuu hii gari bado ipo? Weka picha na details. Naiitaji.