Toyota Rav4 miss Tanzania

Toyota Rav4 miss Tanzania

Hahahaaaaaaaa,,,chuma ndio Kwanza zinawika balaa

Harrier jeusi utafananisha Mkuu na Subaru Forester sijui ya 2015????Ambapo ndio sare ya Taifa kwasasa,,,
Harrier 2003/4 balaaa
Mkuu yaendelee kuwika tu ila mimi situmii hayo matako ya simba.
 
Back
Top Bottom