Toyota Rav 4, ya Mwaka 2007 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Toyota Rav 4, ya Mwaka 2007

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Richard Nguma, Oct 22, 2012.

 1. R

  Richard Nguma Member

  #1
  Oct 22, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu wana GREAT THINKER kwanza natakunguliza shukrani zangu kwa wana GT KWA JINSI MNAVYOTOA USHAURI MZURI KILA NINAPOHITAJI USHAURI, THANKS VERY MUCH AND GOD BLESS U ALL. NIna Toyota Rav 4 Limited ya mwaka 2007 ambayo ni LEFT HAND DRIVING NA NATAKA KUJA NAYO NYUMBANI ARUSHA, JE INAFAA KUBADILISHA IWE RIGHT HAND DRIVING?PLEASE KAMA KUNA MTU ANAYEJUA NDUGU, RAFIKI AU KARAKANA NAWEZA KUPELEKA IFANYIWE MAREKEBISHO.ASANTENI SANA WANA GT.my email
  richardnguma@gmail.com
  cell +15015451182 Text only.
   
 2. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,052
  Likes Received: 4,609
  Trophy Points: 280
  Fanyia huko huko nje... for best results.... Otherwise njoo nayo ufanyie Toyota hapa Dar.... But watakunyoa kweli...
   
 3. Maswi

  Maswi JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 898
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  wewe huko ulipo hakuna mafundi?
   
 4. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #4
  Oct 22, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,059
  Likes Received: 7,260
  Trophy Points: 280
  Duh,
  Hiyo haina tofauti na kumbadilisha mwanamke awe mwanaume!!
   
 5. R

  Richard Nguma Member

  #5
  Oct 22, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante sana mwana GT
   
 6. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #6
  Oct 22, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,059
  Likes Received: 7,260
  Trophy Points: 280
  Usinielewe vibaya mkuu wangu,
  Namaanisha kuna operation zingine kwa hapa bongo ni vigumu sana kufanikiwa. Nimechukulia mfano wa kubadili mwanamke awe mwanaume nikiwa na maana wenzetu huko ni kitu cha kawaida tu wakati hapa sidhani kama wanaweza.

  Sasa upande wa gari kuhamisha Sterling, Clutch, Accelerator n.k. from kishoto to kulia sidhani kama no rahisi hapa kwetu. Hapo bado kubadili Dashboard nzima ya gari, kuhamisha Airbargs, e.t.c,

  Nakushauri tembelea hivyohivyo tu kaka!!
   
Loading...