Kigari cha kazi, utakuwa umegundua siri ktk hii gari si bure!Nahitaji Toyota Probox namba D iwe vizuri tuwasiliane PM kama unayo
Ninaye ndg yake anaitwa Succeed mwaka wa saba huu cjawahi juta!! Kuna kipindi niliwaza kuiuza ili tu nibadili gari lkn ckuona gari ndogo itakayoweza kuireplace, fuel consumption nzuri, boot space kuubwa yenye floor ngumu km ya bodi ya kirikuu!!Nahitaji Toyota Probox namba D iwe vizuri tuwasiliane PM kama unayo
Ndugu nakushauri tuu, Uimara wa Gari sio namba utaibiwa!Nahitaji Toyota Probox namba D iwe vizuri tuwasiliane PM kama unayo