Toyota premio ya 2014

Toyota premio ya 2014

Gari ni kama mke tu unavyo mkunja mkuu...
downloadfile-2.webp
 
Yoyote nzuri tu, ila cc zikiongeza ulaji wa mafuta inaongezeka na nguvu ya gari inaongezeka. Ila usijitese sana kufikiria, kama hali ya gari nzuri, chukua.

Hii gar ndio mna sema 17M
 

Attachments

  • IMG_7245.jpeg
    IMG_7245.jpeg
    91.7 KB · Views: 3
Nauliza kwasababu kuna ndugu yetu alijifanya mjuaji kauziwa mazda atleza kwa 30M kaja kushutka hivi juizi kuwa alipigwa parefu sana kisa ujuaji mm sio expart upande huo kbsa
Atenza ya Mil 30 labda zile za 2018/19
 
Umeona hiyo juu imeandikwa 1.8X L, inamaana iyo ni cc 1,800 ingeandikwa 1.5X L ni cc 1,500 na ingeandikwa 2.0X L ni cc 2,000
 
Back
Top Bottom