Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 34,840
- 101,708
Hahahaha za 2014 izoHizi zinazo zagaa hapa 22M yy kauziwa 30M kisa ujuaji
Hahahaha za 2014 izoHizi zinazo zagaa hapa 22M yy kauziwa 30M kisa ujuaji
Hahahaha za 2014 izo
Showroom utapigwa, kwa mtu angalau 15-20
Hakuna m'bongo auze gari isio na shida. Hakuna.Na una kuta haina kipengele?
Hakuna m'bongo auze gari isio na shida. Hakuna.
Chief nakuchek DMNjoo nikuuzie premio yangu f
Mkuu si unaenda Tu Motech i, kwa laki moja Tu , unajua kama unauziwa Gari bovu au zimaHakuna m'bongo auze gari isio na shida. Hakuna.
Ulisomea magari?Yeah. Zipo engine tatu, cc 1500, cc 1800 na cc 2000. Zote nzuri bila shida.