Lakini hata hivyo, ni mwendo wa kawaida sana umetumia. Kwani ni masaa6 ambayo kwa umbali wa kilometa 458 kilometa, ni wastani wa 76kph ambayo ni kawaida sanaJuzi-kati nimetoka DAR saa 7 usiku na nimeingia Dodoma saa 1 asubuh na Toyota rumion nakumbuka kipande cha kutoka Dodoma kuitafuta singida nimewapa adabu na adhabu madereva wa IST,raum,wish,rush na spacio.
Aisee kama Kwenye suala la balance basi rumion iko vizuri Sana hii ndinga ni balaa nilikuwa naenda Hadi speed 170 km/h na gari iko stable.
Nissan X trail nimefukuzana nayo kipande cha shelui kuitafuta nzega hii gari ni ya kawaida Sana njiani mara nyingi jamaa alikuwa ananipita Kwenye vibao vya 50