Toyota Premio inakimbia kuliko X- Trail new Model

Juzi-kati nimetoka DAR saa 7 usiku na nimeingia Dodoma saa 1 asubuh na Toyota rumion nakumbuka kipande cha kutoka Dodoma kuitafuta singida nimewapa adabu na adhabu madereva wa IST,raum,wish,rush na spacio.

Aisee kama Kwenye suala la balance basi rumion iko vizuri Sana hii ndinga ni balaa nilikuwa naenda Hadi speed 170 km/h na gari iko stable.

Nissan X trail nimefukuzana nayo kipande cha shelui kuitafuta nzega hii gari ni ya kawaida Sana njiani mara nyingi jamaa alikuwa ananipita Kwenye vibao vya 50
Lakini hata hivyo, ni mwendo wa kawaida sana umetumia. Kwani ni masaa6 ambayo kwa umbali wa kilometa 458 kilometa, ni wastani wa 76kph ambayo ni kawaida sana
 
Unajua mnapozungumzia Toyota Premio hizi za kati mnaongelea engine aina aina 4 tofauti kuna ambayo ina engine kama ya vitz au IST 1NZ ina cc 1490, kuna 1ZZ engine kama ya Opa au Spacio, 2ZR ambayp pia ni cc 1790 kama 1ZZ, halafu kuna 1AZ ina cc 1990 kama ya RAV4 au VOXY.

Sasa Model ambayo ina nguvu na kukimbia sana kama karatasi ni 1AZ mkuu, sio kila model hiyo itakua inakimbia mzee baba
Ni kweli tupu. Hii 1AZ ipo kwenye RAV4, Avensis na ni D-4 Engine ambayo unatakiwa uwe makini na Engine hii kwa sababu inahitaji matunzo hasa mifumo ya mafuta na Oil, haitaki mambo ya kuchakachua. Mkubwa wa Engine hiyo ni 2AZ(cc2362) ambayo ipo kwenye Harrier, Rav4 Miss Tanzania, Kluger na Alphard(baadhi) kutaja machache
 
Lakini hata hivyo, ni mwendo wa kawaida sana umetumia. Kwani ni masaa6 ambayo kwa umbali wa kilometa 458 kilometa, ni wastani wa 76kph ambayo ni kawaida sana
Barabara za TANZANIA zote sio rafiki Kwa speed kubwa alafu Kwa muda wa usiku ni ngumu Sana kuendesha gari Kwa speed kubwa...
Kwa muda ambao nimetumia ni sahihi kabisaaa Kwa Usalama
 
Juzi-kati nimetoka DAR saa 7 usiku na nimeingia Dodoma saa 1 asubuh na Toyota rumion nakumbuka kipande cha kutoka Dodoma kuitafuta singida nimewapa adabu na adhabu madereva wa IST,raum,wish,rush na spacio.

Aisee kama Kwenye suala la balance basi rumion iko vizuri Sana hii ndinga ni balaa nilikuwa naenda Hadi speed 170 km/h na gari iko stable.

Nissan X trail nimefukuzana nayo kipande cha shelui kuitafuta nzega hii gari ni ya kawaida Sana njiani mara nyingi jamaa alikuwa ananipita Kwenye vibao vya 50

Changamsha genge
 
It depends on who is behind the wheel - Vin Diesel
 
Jamaa yangu huyu alikuwa na Nissain Xtrail ile new model. Akanunua na Toyota Premio kwa ajili ya Mkewe. Anasema kwa Uzoefu wake baada ga kuzitumia zote kwa safari ndefu amegundua Toyotw Premio (model ya kati ) inakimbia zaidi kuliko Nissan Xtrail.

Nlijiuliza IS IT POSSIBLE? on what basis? Akasisitiza Premio imetulia zaidi pia kuliko Xtrail ukiwa mwendo mkali barabarani.

Je, kama ni kweli nini kinaweza kuwa sababu?
Mwendo mkali unauendeshea wapi na barabara/ tochi zetu hz!
 
Unajua mnapozungumzia Toyota Premio hizi za kati mnaongelea engine aina aina 4 tofauti kuna ambayo ina engine kama ya vitz au IST 1NZ ina cc 1490, kuna 1ZZ engine kama ya Opa au Spacio, 2ZR ambayp pia ni cc 1790 kama 1ZZ, halafu kuna 1AZ ina cc 1990 kama ya RAV4 au VOXY.

Sasa Model ambayo ina nguvu na kukimbia sana kama karatasi ni 1AZ mkuu, sio kila model hiyo itakua inakimbia mzee baba
Uko sahihi mkuu unawezeje kuisifu premio yenye cc 1490 na kuidharau Ist yenye engine hiyo hiyo?hili ni tatizo kubwa watu specs za engine hawaangalii wanaangalia body inachekesha kama si kuudhi!
 
Jamaa yangu huyu alikuwa na Nissain Xtrail ile new model. Akanunua na Toyota Premio kwa ajili ya Mkewe. Anasema kwa Uzoefu wake baada ga kuzitumia zote kwa safari ndefu amegundua Toyotw Premio (model ya kati ) inakimbia zaidi kuliko Nissan Xtrail.

Nlijiuliza IS IT POSSIBLE? on what basis? Akasisitiza Premio imetulia zaidi pia kuliko Xtrail ukiwa mwendo mkali barabarani.

Je, kama ni kweli nini kinaweza kuwa sababu?
Xtrail inachots upepo ila premio inateleza kwenye upepo lazima ikimbie skwa urauisi zaidi
 
Bado hujakua. Ukijua utagundua kila anayenunua gari kuna vitu anahitaji. Habari za mafundi na spares hivyo ni vitu ambavyo wengine si big deal. Anaona gari anauliza lina speed kiasi gani?from 0-100 inatumia sekunde au dk ngapi then anaamua. Ni utoto kudhani unachotaka wewe kwenye gari ndicho anachotaka na Ali. Ukikua utagundua priorities differ.

If i want a car i consider somethings kulingana na matumizi yangu. Ukifikia hatua ukakua ukapata gari au ukayafaham magari utakutana na watu kabla hajanunua gari anauliza lina HP ngapi au Engine yake ni size gani? Au lina turbo? Ndo wenye ulewa walivyo mwingine anataka lenye CC chache mwingine anataka lenye CC nyingi. Kama mademu. Mwingine anataka mwenye mzigo mwingine namba 1. Sasa wewe subiri ukue halafu uje uwe na uwezo wa kununua gari. Then njoo nikuelekeze.
Ukute hata hilo gari huna.
 
UNYAMA mwingi

205089720_116949020606781_4619498940419349783_n.jpg

187207357_824439615118172_3216648188948662793_n.jpg
 
Back
Top Bottom