Toyota Premio 2012

Jorowe

Member
Jun 9, 2018
88
217
Wakuu wasalaam!

Natarajia kuagiza hili gari hivi karibuni kama mambo yatakaa sawa!

Bei zake nakuta ziko juu kidgo kuanzia 9M hadi 15M kwa site ya befoward kabla ya kodi ya tra.

Naombeni ushauri na mapendekezo mbadala kama kuna other option inaweza kuwa bora zaidi ya hii isiyozidi 25M

Kwenye calculator ya tra nakuta kodi ni 9M+ plus je huwa kuna ongezeko la kodi tofauti baada ya mzigo kufika?!

Mapendekezo mengine kwa bajeti isiyozidi 25M yatafaa zaidi sio vyuma vya mzungu lakinimaana niko nje ya miji mikubwa spare inaweza ikawa changamoto!


BK142176_cfa9aa.jpg
BK142176_cab290.jpg
 
Back
Top Bottom