mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 80,841
- 106,043
Achana nayo kbisa....hiiHii chuma nililamba kikotoo changu naivuta fasta kwa mlio wake tu nikiendeshaga hizi za kuazima huwa nashusha vioo niisikie mashine 1hz hii kitu balaaa!!
Hii trip zake huna wasi kuna safari moja nlitoka nayo kitati gairo nlipotoka hapo nkaamsha nayo mpk mpwapwa.....dom
Kutoka mpwapwa nkaamsha nayo tena kwenda aneti dom....kurudi kutoka aneti nkaja mpaka isava nkaingia kushoto kuitafuta itiso hpo nko na mshine tuko mtu mbli tu...
Itiso nkaja sehemu za segara buro tulienda mpk soya kondoa....nkaitafuta tena matui na kiteto kuingia narco pale naipata road ya kurudi moro.....
Achana kbsa na mashineee hiii mzee
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app