Toyota landcruser Pickup ina nini mpaka iwe bei kubwa?

Nilikuwa naangalia bei ya hizi gari nikakuta milango 2 ni Mil 55, 67, 80 na nyingine Milango 4 nimeikuta Mil 110.

Ina nini hii gari kinachofanya iwe na gharama?
Unakaa mkoa gani! Hujui sifa ya landcruser/ land rover, sasa tumia muda kusoma kuhusu izi gari
 
Back
Top Bottom