Hongera mkuu kwa hatua hiyo, mi natarajia nipate Paso au IST.
Kuhusu ipi bora mi sijui
Prado TXL nyeusi ni tamu Sana alafu unaweka na zile taa 3 pale kwenye kioo cha mbele
Hapo traffic wanaishia kupiga salute Tu huku ukiwa speed 160
Achana na Prado zinaua sana, majuzi nimekutana na moja imehama njia imeua watatu, kuna kitu kilichomoka kwenye tyre ya kulia mbele ikaacha njia, mtu mmoja akasema huo ndiyo ugonjwa mkubwa wa PradoWakuu
Mwisho wa mwaka au Mwakani natamani nichukue mojawapo ya hizo hapo .Mnanishauri ipi
Landcruiser 2013-2017
Prado TXL 2019-2023
Prado toleo lipi?Achana na Prado zinaua sana, majuzi nimekutana na moja imehama njia imeua watatu, kuna kitu kilichomoka kwenye tyre ya kulia mbele ikaacha njia, mtu mmoja akasema huo ndiyo ugonjwa mkubwa wa Prado
Achana na Prado zinaua sana, majuzi nimekutana na moja imehama njia imeua watatu, kuna kitu kilichomoka kwenye tyre ya kulia mbele ikaacha njia, mtu mmoja akasema huo ndiyo ugonjwa mkubwa wa Prado
Wakuu
Mwisho wa mwaka au Mwakani natamani nichukue mojawapo ya hizo hapo .Mnanishauri ipi
Landcruiser 2013-2017
Prado TXL 2019-2023
Prado toleo lipi?
Sijui ni model gani ila ina side mirror ndogo mbele kabisa ya shavu la tyreIlikua VXL au TXL
Najua matokeo ya zamani ndo yana hilo tatizo
Sijui ni model gani ila ina side mirror ndogo mbele kabisa ya shavu la tyre
Ipi kati ya hizo tatu hapo.Sijui ni model gani ila ina side mirror ndogo mbele kabisa ya shavu la tyre
CHukua Landcruiser Hardtop double cabin hautojutaWakuu
Mwisho wa mwaka au Mwakani natamani nichukue mojawapo ya hizo hapo .Mnanishauri ipi
Landcruiser 2013-2017
Prado TXL 2019-2023
Top left ila iwe na milango miwili kila upandeIpi kati ya hizo tatu hapo.
View attachment 2902056
Hizo Prado ni kweli kabisa zina ugonjwa huo.Top left ila iwe na milango miwili kila upande
Ungetoa more specifications.Wakuu
Mwisho wa mwaka au Mwakani natamani nichukue mojawapo ya hizo hapo .Mnanishauri ipi
Landcruiser 2013-2017
Prado TXL 2019-2023
Prado sio Landcruiser?Achana na Prado zinaua sana, majuzi nimekutana na moja imehama njia imeua watatu, kuna kitu kilichomoka kwenye tyre ya kulia mbele ikaacha njia, mtu mmoja akasema huo ndiyo ugonjwa mkubwa wa Prado
Ungetoa more specifications.
Hivi hujui hata hiyo Prado TXL au VXL ni Land cruiser ?
Ungetoa maelezo zaidi walau tunaofahamu magari kidogo tukushauri!!
CHukua Landcruiser Hardtop double cabin hautojuta