Toyota Land Cruiser XVR

aleesha

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
776
1,121
Baadhi ya madiwani wa Manispaa ya Temeke, Dar es Salaam wamedai Mkurugenzi wa Manispaa hiyo, Lusubilo Mwakabibi ametumia ubabe kuilazimisha kamati ya zabuni kununua gari la mkurugenzi, Toyota Land Cruser XVR, kwa TZS milioni 470, huku manispaa ikikabiliwa na changamoto nyingi.

tmp-cam-1110429333314710613.jpg
 
Baadhi ya madiwani wa Manispaa ya Temeke, Dar es Salaam wamedai Mkurugenzi wa Manispaa hiyo, Lusubilo Mwakabibi ametumia ubabe kuilazimisha kamati ya zabuni kununua gari la mkurugenzi, Toyota Land Cruser XVR, kwa TZS milioni 470, huku manispaa ikikabiliwa na changamoto nyingi.
Hawa walimshindisha mtu kibabe hivyo hakuna wa kuwagusa.

Kwa jinsi hiyo hata madiwani wataambiwa na mwenye mbwa, nyie tulieni hata ninyi msingelikuwa madiwani kama ningetaka kuifuata haki.
 
Baadhi ya madiwani wa Manispaa ya Temeke, Dar es Salaam wamedai Mkurugenzi wa Manispaa hiyo, Lusubilo Mwakabibi ametumia ubabe kuilazimisha kamati ya zabuni kununua gari la mkurugenzi, Toyota Land Cruser XVR, kwa TZS milioni 470, huku manispaa ikikabiliwa na changamoto nyingi.
Naona wameanza kutafunana wao kwa wao, leo hii madiwani 'waliotangazwa' kibabe na wakurugenzi wanageuka 'kuwashughulikia' waliowapa 'ulaji'.
 
Back
Top Bottom