Toyota ist

Toyota ist

Ni nzuri sana ukitaka kujua ulaji wake wa mafuta ni mzuri sana kwani ina CC 1920 na aina nyingine cc 1920 2nz.

Na zinapendwa sana na akina mama huku kwetu kwa ajili ya safari zao za hapa na pale. Sio mzuri kwa safari ndefu.

Ina maana nayo ni kitchen party ??
 
Ni nzuri sana ukitaka kujua ulaji wake wa mafuta ni mzuri sana kwani ina CC 1920 na aina nyingine cc 1920 2nz.

Na zinapendwa sana na akina mama huku kwetu kwa ajili ya safari zao za hapa na pale. Sio mzuri kwa safari ndefu.
utakuwa umeteleza mkuu unaongelea Subaru!ist ni 1290cc ila zipo mpaka za 1490 cc
 
mi mwenzenu mnanikatsha tamaa
kwa mshahara wangu nategemea mwakan mwishon ndo ninunue boxer 150.
na nmepanga had 2016 ntakuwa na milion 7 kwa kiac nnachotenga kila mwezi ili nitimize ndoto yangu ya kumiliki Toyota MARK X nyeusi. Hiv kwel ndoto yangu itatimia kwel maana hiyo ist tu ndo milion12?
Kwa kweli hii thread imenikatisha tamaa.
 
Bado sijaelewa vizuri kuhusu engine hizo mbili za Toyota IST. 1.5L 1NZ na 1.3L 2NZ. Kuna mdau amesema ya 1NZ ni bora. How?
Na je bei zinafana au la, kati ya magari zenye hizi engine mbili? Msaada Tafadhali.
 
Lite.

Hiyo 1NZ au 2NZ zisikutishe kwani hizo ni Internal cooling system accessories. mathalan huku kwetu sometimes joto linafika hadi 50 centgrade ni lazima tutumie magari yenye extra cooling system ndio maana tunapendelea zaidi 2NZ. Lakin mfumo na ufanyaji kazi wa engine zote hizo ni sawasawa kabisa na matumizi yake ya mafuta ni sawa sawa.

Kwa huko Tanzania mnatumia aina zote hazina shida sana kwani nyie huko max joto lenu ni 33 centigrade.

Bei zake zote zipo sawa inategemea imetengenezwa mwaka gani. Mathalan jana nilipita show room nikaona IST moja ya mwaka 2012 rangi ya grey ilikuwa ikiuzwa $6000.
 
Maelezo mazuri mkuu..... Ila umenichanganya kidogo kwenye matumizi ya mafuta... Moja ni 1.5 L na nyingine 1.3L, zote VVTI, vipi zitumie sawa? Nathani 1NZ itakuwa inatumia juu kidogo ya mwenzake.....
 
Back
Top Bottom