kawakama
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,299
- 391
hujaulizwa jina wala unakoishi,toa maelezo kwa jinsi unavyofahamu...do u think kuishi dubai ni uwezo wa kujibu ilo swali...mbona unanukia kama unaishi tandale kwa mkunduge
Naitwa lucky naishi dubai 00971504374387 maelezo mazuri ametoa king kong kwa kuongeza ni kwamba gari hilo ni zuri na spare zake ni affordable ata gari lenyewe si ghari la mwaka 2003 kwa dar ni 12 ml dubai ni dola 4200 pamoja na kulisafirisha mpaka bandari ya dar