Toyota IST

Toyota IST

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
18,304
Reaction score
12,999
Habari zenyu binafsi.......

Wadau naomba mnijuze advantages na disadvantages za gari aina ya Toyota IST i.e. fuel consuption, services n.k.

Kuna shost angu kaniuliza sasa na mie sijui hata kidogo kuhusiana na magari make ananiona mie mjanjaaaa kumbe ujanja wote huwa naupata hapa jukwaani.... Tafadhalini...

Kama hizi hapa

toyota-ist-05.jpg




2007_Toyota_ist_02.jpg
 
Gari nzuri sana vina cc 1300 na 1500, mwambie achukue vya cc1300 akiweka wese la 50,000 anaweza akatumia mwezi mzima to/fro kazini! Mziki na AC yake Nzuri ila bei yake imesimama kama ataagiza nje itamcost kama 9.8m na kama akinunua huku ni 11.5m hadi 12m kwa maelezo ya kuagiza ani PM.
 
Naitwa lucky naishi dubai 00971504374387 maelezo mazuri ametoa king kong kwa kuongeza ni kwamba gari hilo ni zuri na spare zake ni affordable ata gari lenyewe si ghari la mwaka 2003 kwa dar ni 12 ml dubai ni dola 4200 pamoja na kulisafirisha mpaka bandari ya dar
 
Daughter kwa nini usingeipeleka kule Sci & Tech....kuna wajanja kule huwa hawaji huku kama kina siye.
 
Naitwa lucky naishi dubai 00971504374387 maelezo mazuri ametoa king kong kwa kuongeza ni kwamba gari hilo ni zuri na spare zake ni affordable ata gari lenyewe si ghari la mwaka 2003 kwa dar ni 12 ml dubai ni dola 4200 pamoja na kulisafirisha mpaka bandari ya dar

Namba ya simu ya nini tena hapa...???
 
Naitwa lucky naishi dubai 00971504374387 maelezo mazuri ametoa king kong kwa kuongeza ni kwamba gari hilo ni zuri na spare zake ni affordable ata gari lenyewe si ghari la mwaka 2003 kwa dar ni 12 ml dubai ni dola 4200 pamoja na kulisafirisha mpaka bandari ya dar

Naomba nije Dubai kukutembelea.
(kula na kunywa ni juu yako)
Nitaambatana na shemeji yangu,
watu8
dubai20%20tower.jpg

Shemeji watu8, jiandae.
 
Last edited by a moderator:
Dear daughter charminglady,
Fungua katika link hii chini, kuna maelezo mazuri tu yatakusaidia....
TOYOTA IST
Love.
Daddy!!
 
Last edited by a moderator:
Naitwa lucky naishi dubai 00971504374387 maelezo mazuri ametoa king kong kwa kuongeza ni kwamba gari hilo ni zuri na spare zake ni affordable ata gari lenyewe si ghari la mwaka 2003 kwa dar ni 12 ml dubai ni dola 4200 pamoja na kulisafirisha mpaka bandari ya dar

Mwisho wa Kupiga simu ni saa ngapi?
sie wengine ni wasumbufu.
 
Back
Top Bottom