Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,894
- 155,914
Hiyo video ya Land Cruiser Lx ni uzembe wa dereva hiyo gari haiwezi kukwama hapo hata akipewa cocastic aendeshe.
Chato kila kitu kizuri kikipelekwa huko kinageuka kuwa kibayaHii itwkuwa Toyota ya chato! Sio hv izi tunazozifahamu sisi.
Gari dumeLand Rover ni gari inayoaminiwa toka zamani
Bujibuji , kwa picha hizo hapo juu, sidhani kama shida ni gari (Toyota), huenda shida iko kwa waendeshaji. Gari za 4WD zina settings mbali mbali, suala sio kuweka 4WD tu pale gari inapoleta matata njiani. Je una engage 4WD katika mazingira yapi?
Kwa hiyo Toyota anakwama wapi?Bujibuji ,
- Hio Prado kwenye mchanga, yenyewe haina kirungu cha 4WD, ila ina button ya diff lock, ambayo nayo ina settings za high na low terrain. Nayo nahisi shidani dereva kushindwa kuweka 4WD mahali sahihi. Lakini all in all, Mwingereza kwenye 4WD yuko vixuri kuliko Toyota. Nimendesha LR 109, najua muziki wake.
🤣 🤣 🤣 🤣 swali fikirishi!Kwa hiyo Toyota anakwama wapi?
Very overrated🤣 🤣 🤣 🤣 swali fikirishi!