Toyota hivi mnakwama wapi?

Bujibuji , kwa picha hizo hapo juu, sidhani kama shida ni gari (Toyota), huenda shida iko kwa waendeshaji. Gari za 4WD zina settings mbali mbali, suala sio kuweka 4WD tu pale gari inapoleta matata njiani. Je una engage 4WD katika mazingira yapi?
  1. Nikianza na hio hardtop ya World Vision, hio inatumia 4WD ya umeme na manual, meaning kwamba ukisha lock diff (manually pale kwenye hub ya tairi za mbele) ukiingia ndani unabonyeza tu button na gari inasonga mbele), Hapo inakuwa kwenye 4WD High terrain (default setting toka kiwandani). Unaweza kwenda mpaka speed 80 ikiwa kwenye 4WD. Ukitaka low terrain inabidi uingize manually kwenye ile gear lever ndogo (kawawa). Ukikosea hapo, huwezi kutoka kwenye tope kama lile. Lakini pia huenda matairi ya hio gari ni ya matumizi ya on good road conditions, sio offroad.
  2. Hio Prado kwenye mchanga, yenyewe haina kirungu cha 4WD, ila ina button ya diff lock, ambayo nayo ina settings za high na low terrain. Nayo nahisi shidani dereva kushindwa kuweka 4WD mahali sahihi. Lakini all in all, Mwingereza kwenye 4WD yuko vizuri kuliko Toyota. Nimendesha LR 109, najua muziki wake.
 
Bujibuji ,
  1. Hio Prado kwenye mchanga, yenyewe haina kirungu cha 4WD, ila ina button ya diff lock, ambayo nayo ina settings za high na low terrain. Nayo nahisi shidani dereva kushindwa kuweka 4WD mahali sahihi. Lakini all in all, Mwingereza kwenye 4WD yuko vixuri kuliko Toyota. Nimendesha LR 109, najua muziki wake.
Kwa hiyo Toyota anakwama wapi?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom