Unamshauri nini mnunuaji wa Toyota Verossa mwaka 2023

Screenshot_20231128-194201.png
 
Namaanisha kwa kipindi hiki nikinunua Verossa ni nzuri au nitafute gari jingine? Natamani kujua uzuri na ubaya wa Toyota Verossa..?
Hahahahahah kwa kipindi hiki nunua Crown Athlete ina ubora kuliko Verossa
 
Natamani nifahamu ni faida au changamoto zipi nitapata nikinunua Verossa kwa Sasa
Changamoto huwa hakuna ikiwa una hela. Spare parts zimejaa Ilala bei chee tu unapata. Kikubwa utakuwa mtu wa ajabu tu kwenye jamii yetu ya kibongo kununua gari ambayo iko out of class kwa sasa. Waliokuwa wana Verossa sahizi wanaendesha Crown na Benz.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom