Toyota hivi mnakwama wapi?

Land Rover ni gari inayoaminiwa toka zamani

Kama inaaminiwa kwanini mauzo yake yamepungua sana? Kwanini kampuni inashindwa kujiendesha sasa kila uchwao inanunuliwa na other manufacturers?

Ni shirika gani duniani sio bongo au Africa tu bali duniani ambalo limebaki kutumia Land rover as their go-to car?
 
Back
Top Bottom