Toyota harrier 1999 vs escudo suzuki 2003

Toyota harrier 1999 vs escudo suzuki 2003

Binafsi ni mshabiki mkubwa wa Harrier,ni kweli it is very luxurious,sidhani kama ni nzuri sana kwa trip za vijijini,lakini gari ni matunzo,zipo pia za injini za kawaida 2200cc hivyo unywaji wa mafuta ni kawaida sana,spare zipo.
 
kaka go for rav4 old model au escudo, utazifurahia. Ila hiyo Harrier yako unayong'ang'ania kwa vijijini!, anywa my opinion
 
Back
Top Bottom