OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,575
sikiliza kaka,gari kuharibika vitu vikubwa ni nadra sana na lazima kuwe na uzembe mkubwa kama kuendesha bila maji/oil etc....vingine vidogo haviwezi kukushinda,kikubwa ni kuwa HARRIER haiwezi kuhimili misukosuko kama ESCUDO/RAV 4 kwa hio uendeshaji wako ndio utadetermine maisha ya hio gari....SPARE ZA HARRIER ZIPO BONGO KIBAO.
cc: OLESAIDIMU
Umemaliza kaka haswa kwa kuzingatia kuwa andiko lake la mwanzo kasema kuwa atatumia gari husika vijijini na hali za barabara zetu zinajulikana vema sana!!!!!!
Sasa kuwa na gari ambayo akipata safari za kijijini anakuwa roho mkononi kwa kweli sidhani kama ni sahihi sana, unless wazazi wake wanaishi Mbweni na yeye anaishi Tegeta so hana safari za upcountry na ana duka Kariakoo!!!!
Last edited by a moderator: