Toyota harrier 1999 vs escudo suzuki 2003

KAKAO

Member
Joined
Nov 14, 2013
Posts
61
Reaction score
10
Wadau ninayo heshima kubwa saana naomba kujua GENERALLY UZURI WA HAYO MAGARI MAWILI NA UBAYA WAKE,Yaani SPARES AVAILABILITY,UIMARA WA GARI,COMFORTABILITY,OIL CONSUPTION nk.
na yoote asilimia 65 nataka kuyatumia Vijijini.
Naomba saana tafadhali,Mmesaidia wengi sana,Waiting to hear from you.
 
Ndugu zangu,nasubiria maoni yenu taadhali,
 
Chukua Suzuki Escudo. Mafuta inakula vizuri na madhubuti spea zinapatikana nafuu kuliko Harrier. Harrier inakula sana mafuta na ikianza kuchoka ni ndoa ya kikristo kwa mwenza mgonjwa mgonjwa.
 
ndugu zangu mchango wenu muhm saana kwangu
 
ungetoa specifications zaidi, kwangu mimi hayo ni magari tofauti sana kuyaliunganisha...harrier zenyewe zipo aina nyingi, kadhalika suzuki escudo sasa unalinganisha zipi hasa?

CC OLESAIDIMU
 
Last edited by a moderator:

Uko sawa kabisa kaka ila kwa kuanzia tu labda nimuulize kama kawahi kuona Harrier Ikiwa ya serikali, DFP au hata shirika???!!!!

Kama ni mtu wa field kawahi kutumia harrier au kukutana nayo madongo kuinama???!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu OLESAIDIMU,Lengo langu ktk matumizi ya kawaida for how long naweza kaaa nalo?nikifanya route ndefu from Moshi to Mbeya,na je naweza liuzs pindi napohitaji kufanya hivyo??
NOTE:
TOYOTA HARRIER 2002/2000 NOT LEXUS Harriers.
cc Kaiser.
 
Mkuu hivi kuna magari maalumu kwa serekali. Lakini ki ukweli harrier sijui watu wanazipendea nini.
 
MANI,Tatizo la Harrier n nnini Kaka??
pls let mr know this brother.
kama unafahama kwa undani
 
MANI,Ttzobla Harrier n nnini Kaka??
pls let mr know this brother.

Harrier haidumu hupoteza sura mapema na fuel consumption kubwa na gari mayai nenda kwenye escudo haswa ukipata v6 2.0 utafurahi.
 
Mkuu OLESAIDIMU,Lengo langu ktk matumizi ya kawaida for how long naweza kaaa nalo?nikifanya route ndefu from Moshi to Mbeya,na je naweza liuzs pindi napohitaji kufanya hivyo??
NOTE:
TOYOTA HARRIER 2002/2000 NOT LEXUS Harriers.
cc Kaiser.

Moshi to Mbeya ni lami tupu sasa kama gari ni nzima na uko makini utaenda tu bila shida!!!
Muda wa kukaa na.gari inategemea matunzo yaani mfuko wako mkuu!!!!!
Ila siwezi shauri Harrier kwa rough road na vijijini
 
Mkuu hivi kuna magari maalumu kwa serekali. Lakini ki ukweli harrier sijui watu wanazipendea nini.
Siujui neno maalum umelitumiaje lakini pool zimejaa Toyota Land Cruisers, Nissan, Land Rovers defender, Ford Rangers na XLT,pia zipo Suzuki na Rav 4 mkuu MANI sijui wewe uzoefu wako ukoje katika hii observation!!!
 
Last edited by a moderator:
Wanalalamika spea ni 'issue'

Yawezekana sababu nimesikia mtu akihangaikia shock nyuma za nyuma na aliagizia dubai almost laki saba kwa mbili!!!!

Ila kwa sababu zimekubalika sokoni i hope spea zitajaa muda sio mrefu
 
Tatizo la harrier ni fuel consumption (kubwa) na bei ya spares (ghali sana)...
Otherwise ni comfortable. Kudumu kwake ni utunzaji wako
 
Siujui neno maalum umelitumiaje lakini pool zimejaa Toyota Land Cruisers, Nissan, Land Rovers defender, Ford Rangers na XLT,pia zipo Suzuki na Rav 4 mkuu MANI sijui wewe uzoefu wako ukoje katika hii observation!!!

Hiyo selection yako ni sawa lakini pale ulipouliza umewahi ona harrier gvt au dfp ndio palinichekesha. Maana ya kukosekana huko ina I disqualify kwenye umadhubuti.
 
Last edited by a moderator:
Hiyo selection yako ni sawa lakini pale ulipouliza umewahi ona harrier gvt au dfp ndio palinichekesha. Maana ya kukosekana huko ina I disqualify kwenye umadhubuti.

Ha ha haaa haya kaka si unajua ST na DFP wanakatiza almost njia zote sasa nilikuwa nampa sample ambayo haitamsumbua kupata validity!!!!

Cc TCleverly
 
Last edited by a moderator:
Ha ha haaa haya kaka si unajua ST na DFP wanakatiza almost njia zote sasa nilikuwa nampa sample ambayo haitamsumbua kupata validity!!!!

Cc TCleverly

TOYOTA HARRIER ni cheaper au niseme copy/clone ya LEXUS RX300[market kubwa ni EUROPE/USA].....kama ujuavyo LEXUS ni luxury brand ya TOYOTA so huwa ni very luxurious plus big engine[3000cc]....kwa wale wenzangu tukatengenezewa HARRIER[WITH 2200CC,2500ETC].

in short:HARRIER na ESCUDO ni gari tofauti kwa matumizi tofauti kama ulivyosema huwezi kuona DFP/STK HARRIER
 
Nashukuru kwa maelezo yenye uchambuzi wa kina hasa,Kabla ya Kufunga Mjadala naomba kufahamu yafuatayo:
Je kwakuwa inaonekana Harrier ni luxoury,ni kifaa kipi kinaweza haribika na kuwa expensive to such an extent ku afford KUKIPATA inachukuwa muda kwa sisi wenye kipato cha Tsh. 680,000 take home kwa mwezi??
Kukipata kwa maana ya kipo ila Ghali hadi kujichanga na Kukipata kwa maana hakipo hadi uagize NJE ya nchi.
wakati gari ikiwa imelala.
@Tclevery,
Olesaidimu
Mani.
waiting to hear from you pls
 
sikiliza kaka,gari kuharibika vitu vikubwa ni nadra sana na lazima kuwe na uzembe mkubwa kama kuendesha bila maji/oil etc....vingine vidogo haviwezi kukushinda,kikubwa ni kuwa HARRIER haiwezi kuhimili misukosuko kama ESCUDO/RAV 4 kwa hio uendeshaji wako ndio utadetermine maisha ya hio gari....SPARE ZA HARRIER ZIPO BONGO KIBAO.

cc: OLESAIDIMU
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom