Toyota gaia na toyota opa

mzee wa busara

Senior Member
Aug 13, 2011
181
86
WANA JF naamini kuna wataalamu wengi tu wanayoyafahamu vizuri magari haya Toyota GAIA na Toyota OPA,naombeni mnijulishe ubora/uzuri na ubaya/matatizo ya magari haya bse nataka kuagiza. Natanguliza shukrani kwa kuamini maelezo ntayopata humu yatakuwa ni msaada mkubwa kwangu ili kufanikisha zoezi hili.
 
Toyota OPA ni utumbo mengi hayana spear pili mafundi wanaiweza kuyatengeneza ni wachache sana .toyota Gaia ipo bomba Sana huwa haisumbui
 
bila shaka ujumbe umefika na umeeleweka, ila mimi ningependa kujua URAIA wako:.
 
nashukuru kwa mawazo yenu mazuri mnayoendelea kuyatoa,bado nasubiri mawazo na ushauri zaidi.
 
Toyota OPA ni utumbo mengi hayana spear pili mafundi wanaiweza kuyatengeneza ni wachache sana .toyota Gaia ipo bomba Sana huwa haisumbui
Mkuu umeniokoa,nlikuwa napiga mchakato wa kuchukua Opa!Thanks
 
Nani kwa kwambia Opa kimeo? Opa bei yake mkasi na ina bonge la space ndani....opa luxuary kaa wewe spare za opa na Rav 4 zinaingiliana...njoo mwanza,geta,kahama uone Gaia na Noah zinavyofanywa madaladala...Gaia kimeo! utazichukia!
 
Acha ushabili mkuu! C kwa vile una kiope na mwenzio anunue tu! Tunaongelea ubora hapa,namsahauri asinunue kiope ni vimeo ,nna ushaidi
 
Nani kwa kwambia Opa kimeo? Opa bei yake mkasi na ina bonge la space ndani....opa luxuary kaa wewe spare za opa na Rav 4 zinaingiliana...njoo mwanza,geta,kahama uone Gaia na Noah zinavyofanywa madaladala...Gaia kimeo! utazichukia!
Sasa kuna uhusiano gani kati ya kufanya biashara na ubora? Gaia ni gari nzuri kwa maana ya ulaji wa mafuta hasa ikiwa na injini ya 3s na spea zake ni za kumwaga
 
Back
Top Bottom