Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 4,961
- 12,564
Kuna nyingine inaitwa Toyota Tundra nayo ni ya kibabe sana inapambana na Ford F-150,Dodge Ram. Hizi Tundra na Tacoma zipo soko la America.Uwe unaweka na vipicha mkuu!
Haya ndo magari ya kuumeni.
Linaitwa toyota tacoma. Ukubwa wake, Linaizidi kwa mbali sana hilux ni off road lenye heshima zake!View attachment 1406893
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiyazoea haya ma kitu, ukijaendesha mark x unajiona kama umekaa chini!Uwe unaweka na vipicha mkuu!
Haya ndo magari ya kuumeni.
Linaitwa toyota tacoma. Ukubwa wake, Linaizidi kwa mbali sana hilux ni off road lenye heshima zake!View attachment 1406893
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hapo kwenye R na L imekuaje tena?
Kumbe Discovery 4 ina cost kubwa kumiliki. Mi naikubali tu na wala sina hela lakini ni chaguo langu.Upende na maintainance cost zake mkuu.
Kulimaintain ni shughuli mkuu.Kumbe Discovery 4 ina cost kubwa kumiliki. Mi naikubali tu na wala sina hela lakini ni chaguo langu.
Jamaa kumbe kapest kwa Jerry Spare kisha hata kumpa credit hataki.View attachment 1407026
View attachment 1407027
View attachment 1407032
Mada nzuri ila ni vyema kama unatoa mada kwenye source nyingine utoe credit. Ifike muda waTanzania tuwe tunakubali kutoa credit. Haswa kwenye mada ambazo tuna copy na kupest, yaani ambazo hatujashiliki hata ku-edit.
GMC Sierra, SILVERADO, RAPTORUkiyazoea haya ma kitu, ukijaendesha mark x unajiona kama umekaa chini!View attachment 1406905View attachment 1406906View attachment 1406907View attachment 1406908
Sent using Jamii Forums mobile app
Off road io mzee jaribu kuifatiliaHiyo Fortuner sio gari tough ya off-road hiyo bado ipo kwenye luxury na wenzake wakina Prado na Surf.
Sababu post inahusu gari itakuaMkuu hapo kwenye R na L imekuaje tena?
Wewe ukisikia off road unafikiri ni magari aina gani?Hiyo Fortuner sio gari tough ya off-road hiyo bado ipo kwenye luxury na wenzake wakina Prado na Surf.
Sante sana swali zuri sana ilo,akiweza kujibu ndo aendelee kutoa hojaWewe ukisikia off road unafikiri ni magari aina gani?
Gar yoyote 4x4 inaweza kuwa modified na kuwa off road endapo utaupgrade tyres za off road, shockup boosters, hitch, lift kit, suspension and bushing,skid plate,bull bar, roof Rack, light bar na vingine vingi.