Toyota Fortuner "Mjapan mwenye vinasaba vya Marekani"

Uwe unaweka na vipicha mkuu!
Haya ndo magari ya kuumeni.
Linaitwa toyota tacoma. Ukubwa wake, Linaizidi kwa mbali sana hilux ni off road lenye heshima zake!View attachment 1406893

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna nyingine inaitwa Toyota Tundra nayo ni ya kibabe sana inapambana na Ford F-150,Dodge Ram. Hizi Tundra na Tacoma zipo soko la America.
 
Uwe unaweka na vipicha mkuu!
Haya ndo magari ya kuumeni.
Linaitwa toyota tacoma. Ukubwa wake, Linaizidi kwa mbali sana hilux ni off road lenye heshima zake!View attachment 1406893

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiyazoea haya ma kitu, ukijaendesha mark x unajiona kama umekaa chini!
images%20(3).jpeg
images%20(2).jpeg
images%20(1).jpeg
images.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toyota Fortuner ya sasa hivi ni gari nzuri ina mapumziko ya kutosha bara barani ina balance hata ikiwa kwenye mwendo kasi...
 
Hiyo Fortuner sio gari tough ya off-road hiyo bado ipo kwenye luxury na wenzake wakina Prado na Surf.
Wewe ukisikia off road unafikiri ni magari aina gani?

Gar yoyote 4x4 inaweza kuwa modified na kuwa off road endapo utaupgrade tyres za off road, shockup boosters, hitch, lift kit, suspension and bushing,skid plate,bull bar, roof Rack, light bar na vingine vingi.
 
A

Sante sana swali zuri sana ilo,akiweza kujibu ndo aendelee kutoa hoja
 
Binafsi japo sina hela ya maana ila napenda sana American Cars. Nikiona zile Ford pana pana hivi, mara Escalade au zile Chevs nazipenda sana. Kwa nini hazipo nyingi hapa kwetu Tanzania? Japan ni karibu sana na China na pia magari yao sio ghari sana ila China ni kama wana obsession ya American Cars! Kwa nini? Je magari ya Kimarekani ni bora zaidi na kama ni hivyo kwa nini sisi hatuyaagizi? Au hakuna USED kule?
 
25 Reactions
Reply
Back
Top Bottom