Car4Sale Toyota Brevis 2002 silver inauzwa 5.8M

Leviz

Member
Feb 18, 2024
30
34
Habarini Wana JF,

Mimi naitwa dalali kijana leo nimekuja na offer kwa boss wangu.Toyota Brevis 2002 5.8M tu.

kwa mawasiliano piga 0695022051

1000028027.png
1000028029.png
1000028031.png
 
Kuna jamaa ana Harrier yenye cc. 2900 na anasema chuma inanusa tu mafuta eti. Mwaka wa 5 huu jamaa anatembea huku akiwa amekaa.

Hivyo kama kuna mnunuzi wa hii chombo, anunue tu. Asisikilize maneno ya kukatisha tamaa kutoka kwa wamiliki wa Passo, Vits, Suzuki Kei, Suzuki swift, Fekon, King Lion, Boxer, nk.
 
Back
Top Bottom