Tourist visa to Tanzania.....

Tourist visa to Tanzania.....

Mparee2

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2012
Posts
3,288
Reaction score
5,762
Kumekuwa na changamoto kubwa kwenye mfumo wetu wa Visa kwa watalii na ndio sababu kwa sasa watalii wengi wanakuja bila VISA (na ndio msimu umeanza hatujui huko mbeleni itakuwaje?)

Wageni wanalipia VISA ila wiki mbili hadi mwezi unapita hawajapata majibu, Status pending/in process? Na ujue isipotoka akija Tanzania analipia tena upya. Wanatuona kama hatupo serious!

Nafikiri Immigration waweke ONLINE LIVE CHAT ambapo wateja wanaweza kupata msaada wa haraka pale Visa hazitoki na nini wafanye. System ya visa inasema mtu mwenye changamoto atume email, ILA sijui kama wanaohusika wanafuatilia kuona email ZOTE zinajibiwa na ndani ya muda gani?
KWA KUWA TUMELENGA SOKO LA ULIMWENGU WA KWANZA, NI VIZURI TUFANYE KAZI KWA STANDARD ZA ULIMWENGU WA KWANZA!
 
KAMA TUMELENGA SOKO LA ULIMWENGU WA KWANZA, NI LAZIMA TUFANYE KAZI KWA STANDARD ZA ULIMWENGU WA KWANZA!

Urefu wa kamba kwanza ndio kipaumbele
 
Back
Top Bottom