real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,287
tarehe 7 tunaenda kazini mkuu, vp ukiisogeza hadi wikiend kwa faida ya wengi?Za jioni. Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu semina imetoka kuwa tarehe 6 hadi 7. So hakijaharibika kitu
tarehe 7 tunaenda kazini mkuu, vp ukiisogeza hadi wikiend kwa faida ya wengi?Za jioni. Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu semina imetoka kuwa tarehe 6 hadi 7. So hakijaharibika kitu
Habari za asubuhi.
Kwa wale waliotaka angalau kuona kwa ufupi shamba langu la greenhouse ambalo nimelima nyanya ndani ya greenhouse na nje pia yaani bila greenhouse ila kwa kutumia formula maalumu ya kitaalamu ya kutumia gharama kidogo ila mavuno mengi na makubwa wanaweza ku click hiyo video hapo chini na kuangalia.
0758 308193
nashukuru kwa kuhuliza.!!!tunapelekana kulekuleHabari kaka hiyo fee ya nni?
Habari kaka hiyo fee ya nni?
Ngoja tujibiwe Troojan. Miye sijaelewanashukuru kwa kuhuliza.!!!tunapelekana kulekule
Mimi nililipia 20,000 na kupata formula na maelezo mengine.Lakini sijafika kuona shamba kuthibitisha hizo formula nilizotumiwa.
Mkuu umetuahid vedeo muda sasa, vp!Baadae jioni ntaweka video jionintaweka video ya kuonyesha jinsi matango yanavyoweza kusimamishwa wima badala ya kutambaa na kuchukua nafasi