Totoz za bongo aisee.

Mzee ICE T hukufanya makosa.

Akaamua kula Nguruwe mnono, Duuuu :)

coco-birthday-cakes.jpg
 
hapo vipi?
View attachment 47485
thats why kenyans were voted most ugyly people on the planet.

Guys, let us be realistic and sincere. Without the surrounding vegetation (nafikiri hapa ni John's corner pale Mafinga) I don't see any BEAUTY there! Angalia wigs (naona ni za kichina - synthetic) na huyo mwingine kaacha kipilipili chake kakiweka rangi.
And what more, hivyo vi mitumba!
 
hapo vipi?
View attachment 47485
thats why kenyans were voted most ugyly people on the planet.

Mmmmh, sidhani kama wewe ni mzima na una akili timamu, yaaani hao watu wako uliotuwekea hapa wana uzuri au urembo gani??! Hv ukitumwa upeleke wanawake wazuri au warembo mahali fulani utapeleka hawa rafiki zako waliokata tamaa ya maisha!, rafiki utakuwa unaumwa nenda wakakupime akili huenda akili imekwisha kuruka pasipo kujijua hivyo nakushauri chukua tahadhari!
 
kaka kama huna wivu na unajioana kuwa una akili timamni niwekee mtoto mmoja basi hapa kwa nini utokwe na mimate bila kuweka vigez hapa? hao watoto ni wakali baab
 
Back
Top Bottom