Toto vivu kuliko

Toto vivu kuliko

keleuu

Member
Joined
May 13, 2014
Posts
7
Reaction score
1
Toto moja lilikuwa na tabia ya uvivu wa kupindukia, siku moja limekaa chini ya mti linacheza na baba yake anasoma gazeti kibarazani. Mara likahisi kiu ya maji ila likaona uvivu kwenda ndani kunywa:

Toto: Baba naomba uniletee maji ya kunywa
Baba: We mtoto huna adabu nenda ndani kanywe
Toto: Baba bana mi nasikia kiu niletee mara moja tu
Baba: Nitainuka hapa nije nikutandike vibao, adabu gani hiyo?
Toto: Basi baba ukiwa unakuja kunitandika vibao, naomba uje na maji ya kunywa!

Hatari
 
Back
Top Bottom