sir Ganto G
JF-Expert Member
- Jul 22, 2013
- 573
- 114
"Baba! baba! baba!" mtoto anaita kwa nguvu kutoka bustanini.
" Gari letu limeibiwa!"
" ulifanikiwa kumwona aliyeiba?"
" Hapana,ila nilifanikiwa kuandika namba ya gari".
" Gari letu limeibiwa!"
" ulifanikiwa kumwona aliyeiba?"
" Hapana,ila nilifanikiwa kuandika namba ya gari".