Toto la kisukuma wallah

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,702
shori mkali aisee......wa kulia bana

4.jpg

lolz
 
Attachments

  • 4.jpg
    4.jpg
    31.6 KB · Views: 119
kuliko wa kulia bora wa kushoto, huyo wa kushoto leo afadhali cku zile walimkandika mavipodozi ya ajabu ajabu akawa kitoko full... nyongeza ! kama hapo kuna mkali aisee na mie nitakuwa mkali.
 
kuliko wa kulia bora wa kushoto, huyo wa kushoto leo afadhali cku zile walimkandika mavipodozi ya ajabu ajabu akawa kitoko full... nyongeza ! kama hapo kuna mkali aisee na mie nitakuwa mkali.
nitumie picha yako......nihakikishe
 
Aisee nimeipenda hii sread
yaani mashori wa ukweli (JF) vs mashori wa picha.
First five posts zimetumwa na mashori wetu hapa jukwaani. walah nawapenda ingawa mna vitambi
 
Back
Top Bottom