Toshiba satellite a665 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Toshiba satellite a665

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Julius Kaisari, Oct 4, 2011.

 1. Julius Kaisari

  Julius Kaisari JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 1,174
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Heshima zenu wakuu.
  wale wataalam wa mambo haya,nisaidieni. Laptop yangu aina ya hiyo nilipata nayo ajali,screen yake ikapasuka. Sikuitumia kwa muda wa miezi 5 ikiwa off,baadaye nilifanikiwa kuireplace ile screen,lakini since then imekuwa slow mno...capacity yake ni kubwa na sija- install na ku-save vitu vingi,..nifanyeje?
  Asanteni.
   
 2. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Ina OS gani version ipi?

  • Soma kwenye computer properties gani CPU SPEED na RAM. isije ikawe kwenye kubadilisha screen fundi alisahau kurudisha RAM
  • Vile vile nend. kwenye computer managament then event viewer cheki kama kuna abnornal system event zozote zenye red alert
  • jaribu pia kufanya pia Disk defragmentation
  • Cheki pia ikiwaka kwenye task manager ni % ya CPU inatumika na una idadi ya Process ngapi zinaanza automatically. Process gani zinatumia kiasi ibubwa cha CPU na RAM. Kama inapokuwa slow CPU inaonekana ni zaidi ya 90 au hata 100%. Stopisha baadhi ya process zisizo za muhimu.
  Unatumia antivrus gani? na je iko update
   
 3. Julius Kaisari

  Julius Kaisari JF-Expert Member

  #3
  Oct 4, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 1,174
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Sawa mkuu,
  os ni Wibdow 7 Home premium
  intel(R) core (TM) i7 cpu Q 740@1.73Ghz
  Ram 4.00 GB (1.93 GB usable)
  64- bit operating system
  antivirus ni Kaspersky,
   
 4. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #4
  Oct 4, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0

  Ok sasa hiyo ni bomba kabisa . RAM 4GB ni mre than enaough .Sasa fanya observation unapowasha na inapokuwa slow
  • matumizi ya CPU na RAM yyanakuwaje kwa parcentage?
  • Process gani tatu au nne kuu zinakula memory kiasi kikubwa?
  Kama mashine inapokuwa slow CPU usage % inakuwa ndogo( eg below 70%) basi tatzio laweza kuwa la HARDWARE eg HDD. Hapa nitakushauri chunguza computer management check event log za system zinasemaje zinaweza kuwa na kidokezo muhimu

  Kama inapokuwa slow CPU inaonyesha iko usage kwa 80 au 90 na zaidi basi kuna process fulani na probally virus au bug kwenye appplication unazotumia zinakula reosuces sana zaidi ya inavyotakikana. yaani tatizo itakuwa SOFTWARE


  Kitu kingine cha muhimu nilichosahau hiyo slow ni ya nini hasa ?
  Kama ni slow ya kwenye mtandao wa internet inaweza isiwe tatizo la mashine . Ni suala la QoS la network ya ISP. Laini kma ni slow kwenye mambo ya Msword basi endelea kuchunguza tatizo
   
 5. Julius Kaisari

  Julius Kaisari JF-Expert Member

  #5
  Oct 4, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 1,174
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Naam, umenikatia shule ya kutosha kiongozi wangu...i think tatizo linatakuwa ndani ya suggestd procedures.. tatizo mie mchumi, mambo ya fani hii nafikiri nahitaji msaada zaidi..NYW, nakushukuru.. ntaku-pm kwa msaada zaidi.
   
Loading...