Toshiba satellite a 300

Fundifundisho

Member
Jan 11, 2011
77
18
Ninatumia laptop aina ya toshiba satellite a300, windows xp ila ina tatizo la driver za VGA, na AUDIO,
niliinunua ikiwa na windows vista ila hivi karibuni ilipata tatizo ambalo ilibidi kuiformat ndipo nikampelekea fundi akawa ameformat then akaweka windows xp..
tumetest kuinstall universal driver ikagoma,
nimejaribu kuingia website ya toshiba nikadown load pia inagoma...naomba msaada wenu nipate hata link yake..
natanguliza shukrani.
 
Irudidishie Win Vista yake. Win XP inakosa baadhi ya drivers. Hata miye toshiba yangu satellite A200 niliwahi ifanya hivyo ikaleta za kuleta japo ilikuwa fasta mno. Vinginevyo tumia Windows 7 ila tu iwe na RAM 1GB or above, 2.00 gb processor speed or above. na HDD iwe above 150gb Uta- enjoy
 
Nadhani hakuna kitu ambacho kinashindikanika katika Toshibas ila hamjampata fundi mzuri kwa hilo tafuteni mafundi wazuri.Nani aliwaambia Universal driver ndio kila kitu????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom