Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,814
- 95,726
Mwenye akili kadanganywa na asiye na akili. Duh..nahisi tatizo lipo kwa mwenye akili.Eva alikua hana akili ndomana alitolewa ubavuni, so adam alikubali ili amridhishe eva, afu pia alikua na njaa kichz