Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,886
Kumeibuka wimbi la wadau humu kila mmoja kwa jinsia yake kuponda jinsia ingine
Wanaume this wanawake that
Nashauri tuache mambo hayo roho mbaya haina jinsia.
Mnajitafutia laana bure kumbukeni wazazi wenu ni wa jinsia mbili.
Msisahau MUngu hana jinsia Ila shetani mwanaume