Northman
JF-Expert Member
- Dec 22, 2016
- 1,587
- 2,518
"msisahau Mungu hana jinsia ila shetani ni mwanaume" umejuaje shetani ni mwanaume kama sio kutuchokozaWapi nimesema hivo?
"msisahau Mungu hana jinsia ila shetani ni mwanaume" umejuaje shetani ni mwanaume kama sio kutuchokozaWapi nimesema hivo?
Acha uongo njaa ya nini wakati waliruhusiwa kula kila kitu isipokuwa mti mmoja?Eva alikua hana akili ndomana alitolewa ubavuni, so adam alikubali ili amridhishe eva, afu pia alikua na njaa kichz
MmmhNa tumfanye mtu kwa mfano wetu
Eva ndo alimshauri kwa kutumia mbinu mbalimbali ikiwemo labda alimtishia atafanya mgomo km wa wazee wa mwanza, so jemedari adam akaona la hashaa huu sio uungwana, akatii hoja, so ni swala la upande wa KE, sio ME, shetani ni Non-GenderedAcha uongo njaa ya nini wakati waliruhusiwa kula kila kitu isipokuwa mti mmoja?
bila shaka mtoa mada kashafanyiwa jambo na majamaa wa kiumeAlimtongoza mke wa Adam akamdanganya ale tunda
haya ushakaa kwa siti yako tyr mie naendaHahahaa. Nimejua kuwahi Ma. Ahsante mdogo wangu.
[emoji23] [emoji23]
naomba arudi aneutralize mambo mashambulizi tunayopokea tokea juzi makubwa sanaKama ulikuwa kichwani mwangu mwaya kwani na mie nilijikuta namkumbuka tu.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]