Topic; huwa najiuliza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Topic; huwa najiuliza

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by STALLEY, Sep 10, 2012.

 1. STALLEY

  STALLEY JF-Expert Member

  #1
  Sep 10, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 530
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Ndugu zangu huwa najiuliza
  .kama duniani wanaume tungekuwa peke yetu maisha yangekuwaje
  .alieshauri fedha itumike katika kupata huduma na bidhaa alifikiria nini
  .kwa nini almost races zote ni whites lakini africans tu ndo weusi

  nawewe tupia maswali yako unayojiuliza lakini hupati majibu
   
 2. mangimeza

  mangimeza Senior Member

  #2
  Sep 10, 2012
  Joined: May 13, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  fanya utafiti na jaribu kutembea kuna wahindi weusi kuliko unavyofikiri so wazo la waafrika pekee umekosea sana. Nasi tunajivunia weusi huu ila inaonekana we hujipendi kwa rangi yako
   
 3. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #3
  Sep 10, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,148
  Likes Received: 1,248
  Trophy Points: 280
  Yote hiyo ni mipango ya MUNGU tu
   
 4. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #4
  Sep 10, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 929
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Na hujawajua waBrazil vizuri, kuna mablaki yaani hata Iddi amin mweupe. Na by the way, hii ndo ngozi stahimilivu na pendwa.
   
 5. MatikaC

  MatikaC JF-Expert Member

  #5
  Sep 10, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 1,200
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  caribean weusi mbona wengi tu...au walitokea africa?
   
 6. QUALIFIED

  QUALIFIED JF-Expert Member

  #6
  Sep 11, 2012
  Joined: Jun 13, 2012
  Messages: 747
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  maswali yako yote yanamajibu stahili ni wewe ndo hutaki kujishuhurisha
   
Loading...