Top universities in Tanzania 2018

Najutia sana kupoteza muda wangu kwa ajili ya shule
 

Hapa Lissu tena. Haki gani kaipigania. Alipaswa ajajiwe kwa kazi Yake kama Mbunge wa Taifa Au kule singida Mahali fulani. Wtz lini mtaacha kubadilisha maswali ya mtihani kwa kuwa majibu yenu Sio ya maswali yaliyoulizwa. You have answers to all questions. That’s suicide.
 
apo
umefua mzee,
Udom kua Juu ya SUA na MUHAS,
hakuna
upembuzi apa, Chenga tuu (siaaa)
labda kama unaangakia ukubwa wa emeo la chuo au chuo kua na maghorofa mengi.....
 
Naona watu wengi wanaishi kwa mazoea kuwa ila kwa sasa ni halali kabisa Udom kuwa pale na wasipokaa makini hata udsm itawashusha.

Waulizen wahitimu waliomaliza miaka miwili nyuma hapo udom, mamb yamebadilika siyo kama zaman.

Japo hizi rank siyo kitu sana, kitu uweze kufight na maisha mtaan hata kama ulimaliza st Joseph ukiwin we ni bora kuliko aliyemaliza huko wanapopaita bora.
 
Hawataki kuelewa waliichukulia poa UDOM now wanaelewa kwanini ni UDOM and not otherwise
 
Sifaaaaaaaa nyiiiiiingi mwisho wa siku njoo kitaa ndio utajua kipi ni chuo bora
 
Hawataki kuelewa waliichukulia poa UDOM now wanaelewa kwanini ni UDOM and not otherwise
Ni kwel wanaishi kwa mazoea saanaa, ngoja tusubili baada ya miaka mitatu kwa walivo sasa hivi udom baada ya hiyo miaka watakuwa juu ya hao udsm.
 
Watanzania buana kwani SUA ni nini kisipitwe na UDOM wacheni mazoea ya kishamba.
 
Mleta maada kasoma UDOM kwahyo anaamua kufool jamii kuonyesha kwamba UDOM ni chuo bora. UDOM haiwezi kuisogelea UDSM na haiwezi kuwa juu ya Mzumbe na SUA....
nafikiri kaangalia popularity ya chuo tu na wala si ubora wa chuo husika...
 
Kuna watu wanadhani vyuo vyao ni bora au vinapaswa kuwa bora kisa waliingia kwa division one first year lkn wanasahau kuwa hzo division one huwa zinaachwa wakati wa orientation. Nani anaweza kusema chuo chake kinapaswa kuwa nafasi fulani kutokana na changamoto za kijamii wanafunzi au wahitimu wake walizotatua?? Nadhan hakuna ila kuna chuo kimoja hapa bongo mwanafunzi anasoma computer eng mwaka wa nne anashindwa kupiga window kwenye PC and they claim to be the best,🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…