Top ten ya wasanii wa kiume wanao wavutia zaidi wana wake wawapo jukwaani

Jiulize kwann kila day wasanii wanapishana Gim kutengeneza mionekano kwani kina professor Zamani walikua hawashangiliwii hahahaaa mvuto baba mvuto tena siku nyingine usiseme tena hii habari
Kwahiyo mwanaume akiwa six pack unapagawa?
 
Umebarikiwa mama hongera naona uko kundi La kamikaze na kiba
Wanawake hamjui mnavutiwa na nn.Ila mvuto mkubwa kuliko yote ni pesa na ndo maana hakuna mdada hata mmoja aliyepinga diamind kuwa number one.Hilo lipo uchi ila ukibisha basi.
 
Wanawake hamjui mnavutiwa na nn.Ila mvuto mkubwa kuliko yote ni pesa na ndo maana hakuna mdada hata mmoja aliyepinga diamind kuwa number one.Hilo lipo uchi ila ukibisha basi.
We nae sijui unaongea nn atii?!! Ingelikua only money's matter Marioo mngeongezeka siku hadi siku? Fahamu kila mwanamke analo alitakalo kuna wanawake wako tayari kukupa kila kitu ewe mwanaume ili akumiliki umfurahishe kwa kazi matata na kuna wanawake wanaziona fursa za mifukoni mwa wanaume wachache walionazo so tunazitumia tu
 
Back
Top Bottom