Top ten ya wasanii wa kiume wanao wavutia zaidi wana wake wawapo jukwaani

Alafu watu mna kufuru! Kwa mvuto gani walionao Yamoto band? Au Barnabas mbavu mbwiii kama kundu la nyani Si Bora hata Harmonize ana Romantic body kiasi kuliko hao!!! Mmeangalia baby face au mvuto? Maana kama ni mvuto wa mahaba hata Benpol nae hana hatuvutii, ni akheri aliyetuwekea Kamikaze hapo kaongeza radha yaani simuelewi mtoa Thread Umezungumzia Mvuto au Baby face bora ya hata Ney ana mvuto hakika
 
sizingumzii uzuri huo nazungumzia perfomance zao jukwaani jinsi wadada wanavyopagawa
 
Nazungumzia show za jukwaani
Si Dhani kama mtoa post alilenga kwenye uzuri wa jukwaa naona alikwenda mbali zaidi na kuwataja wanawaowavutia kina dada, na kama ni jukwaan shogangu usiseme uongo Diamond ma kiba hawatomfikiwa na uyo dogo hakika
 
sizingumzii uzuri huo nazungumzia perfomance zao jukwaani jinsi wadada wanavyopagawa
Itakua umejichanganya hakika! We ndo umeleta post? Unapimaje mvuto wa wakina dada kwa wasaniii uliowataja ikiwa we mwenyewe haupo kwenye kundi hilo? Si ndo tunakwambia umetusemea uongo na kuna uliotutajia hawana mvuto kwetu, wanwake hatuvutiwi na nyimbo tu kuna vya zaidi na zaidi tunavyowaangalizia jukwaani
 
wewe kama sio mdau wa kuruka viwanja vitu kama hivi huwezi ukavijua, ila kwa mtu ambaye anafatilia huwa ana waona hawa dada zetu wanavyopagawa hawa wadau niliowataja wakipanda jukwaani kukinukisha
Tunapagawa na zaidi ya nyimbo zao, ungekuwa mmoja wetu ungeelewa tunazungumzia nn mfano apande uyo Barnabas wako apande na Ney uone watu watavutiwa na nani hapo we bora unge specify wasanii wenye nyimbo nzuri kwa akina dada lakini si kusema mvuto
 
  • Thanks
Reactions: nao

basi kiswahil kilinipiga chenga kidogo
 
basi kilinipiga chenga kidogo
Jiulize kwann kila day wasanii wanapishana Gim kutengeneza mionekano kwani kina professor Zamani walikua hawashangiliwii hahahaaa mvuto baba mvuto tena siku nyingine usiseme tena hii habari
 
Aisee kwa hiyo mnapendaga miili yao na si show zao wanazo perform , duuh hatari
 
Back
Top Bottom