Top Ten Best Paying Banks in Terms of Salary by 2013 in Tanzania

Nbc na nmb umeziweka kimakosa hapo..nmb kwa graduate anae anza job analamba take home ya 360k.
 
1. M PESA
2. AIRTEL MONEY
3. TIGO PESA
4. Z PESA
5. STANDARD CHARTER
6. BARCLAYS
7. DTB
8.CRDB
9.NBC
10. NMB

SIM BANKING ZINAKIMBIZA MBAYAAAA. KAMISHENI ZAKE UKIPATA PLACE ZURI NI ZAIDI YA MSHAHARA WA BOSI WA NMB.

MIL.4

PLUSS IMETOA AJIRA KIBAOO KWA VIJANA.

KWA SASA 35%
wako involved na Sim Banking
 
Usipotoshe watu aisee, kama una uwezo wa kupiga GPA kali we piga tu, mambo mengine yatakuja baadae

KUA UYAONE,kutoka kimaisha,yani ile kiukwel kweli,KUWA MILLIONAIRE and the like huhitaji GPA kubwa,hyo ni mbwembwe tu,ndo mana PHD's na academicians wengi maisha yao ya kawaida sanaa kifedha na wengine chokest kabisaa,
 
Yap ni kweli lakin haimaanishi, kupata GPA ndogo ndio inakusaidia kutoka kimaisha pia,,,my point is, kama mtu ana uwezo wa kupata GPA kubwa, aweke tu....binafsi nilikuwa ba GPA kubwa na ilinitoa..
 
1. M PESA
2. AIRTEL MONEY
3. TIGO PESA
4. Z PESA
5. STANDARD CHARTER
6. BARCLAYS
7. DTB
8.CRDB
9.NBC
10. NMB

SIM BANKING ZINAKIMBIZA MBAYAAAA. KAMISHENI ZAKE UKIPATA PLACE ZURI NI ZAIDI YA MSHAHARA WA BOSI WA NMB.

MIL.4

PLUSS IMETOA AJIRA KIBAOO KWA VIJANA.

KWA SASA 35%
wako involved na Sim Banking

Nasikia wanataka anzisha atm zao. sasa hapo nadhan ndo itakua mwisho wa biashara za uwakala m.pesa,tigo pesa. beta look for another business asee.
 
Jamani have been in banking industry kwa miaka Saba sasa....hio top ten hapo hainibariki..mf benki ninayofanya mimi kwa mtu fresh from college/university anaanza na take home ya 780k na hata kwenye hio list haipo kabisa...angalizo pamoja na mimi kukaa benki kwa muda wote huo siwezi mshauri ndugu au rafiki yangu afanye kazi benki its too stressfull,na hasa wale wenzangu waliopo operation/back office depts BorA kidogo business utakutana na targets tuu...
 
ni bank gani hyo na ce 2kaombe kazi?
 
acheni stanchart wawe juu jmn,kuna sm entry positions ukitoka chuo tu take home ni 1.3 million per month..recruitment procedure yao ndef bt surely worth it,pale ht field tu unalipwa laki mbili au zaidi,..upo hapo...ma'manager ndo usisemeee...
wako juu lakini kiukweli huduma zao pale kkoo ni majanga....sijui huko kwengine
 
Huku si kuponda kusiko na maana ndugu,
Nina account zangu mbili pale personal. Ni account agent wa kampuni nayofanyia kazi ,na pia ni signatory wa kikampun chetu binafsi ambacho mimi ni among directors.
So ninawajua vizur hawa jamaa, mwanzon kwa kujua kuwa its a international bank,inahire best students just like the big four accounting firms ,nikajua mambo yatakuwa poa sana kwenye huduma, ndo maana na mimi nikafungua acc yangu na nikamshawish na partner wangu tufungue had hyo ya kampuni yetu hapo .oooh! Kumbe ni vilaza sijapata ona,mtu mmoja anaweza tumia 30 up 45 minutes kwa transaction moja,wapo very very slow,mara nertwork sijui nini. Yaani kiufup ni vitu ambavyo sikutegemea kwao,nilitegemea kuviona tu huku Nmb bhaasi.

Kama wewe ni staff pale ,(maana umenijub kwa hasira kweli) declare interest zako ndo uchangie ,na kama hauna mahusiano yeyote ya kiuteja au kifanyakazi na SCB IHP branch basi usiongee vitu usivyojua.but jamaa ni vilaza kweli

kwa kweli huduma zao pale kkoo ni kama vile wamejitolea,,
 
Mbona cjaiona kcb wakuu ?? Net kwa entrance kcb ni laki 7.5! ! Nashangaa mtoa mada kaisahau!
 
KUA UYAONE,kutoka kimaisha,yani ile kiukwel kweli,KUWA MILLIONAIRE and the like huhitaji GPA kubwa,hyo ni mbwembwe tu,ndo mana PHD's na academicians wengi maisha yao ya kawaida sanaa kifedha na wengine chokest kabisaa,

Hata mm nakubaliana na ww mkuu wenye GPA ya 2.2 ndio mamamilionea huku mjini. Km vp watu wote wasiende shule wawe matajiri!
 
Back
Top Bottom