Top Six Hardest Physics Topics Ever...

Km Wangesema Nitoe Rank Ya Ugumu Wa Comb 10 Kwa Mtazamo Wangu: 1.PCM 2.PCB 3.CBA 4.PGM 5.CBG 6.CBN 7.EGM 8.ECA 9.KLF 10.HGE.
duh! ila kihalisia katika combination nyepesi ni CBN hata kuliko egm sababu Food &human nutrition nyepesi mno na inaingiliana kidogo na bios yani kiufupi iko vizur hii comb
 
Physics ilikuwa Ngumu Pamoja na kwamba nilipata B sema labda kwakuwa nilikuwa naipenda ila kiukweli Topic Ngumu ya Physics ni ROTATION na PROJECTILE maana unaeza soma ukajikuta umeelewa kafanye swali sasa uonee Balaa lakee..Nipo chuo sasaa ila Nakumbuka Roger A89 A91 na A92 ni maswali ya Hatari ya Rotation niliowahi Kuyasolve...Daah Nkikumbuka Huwa Nafurahi saaana! Kwa Maumivu!
 
Projectile kawaida,rocket science ndo kabsaa rahis,..kidoogo electromagnetism mwishon mwishon kule na umeme kwenye ma opamp na ma circuit yale,general relativity kawaida,relative velocity kawaida saana,..ukisoma hiz topic for fun utaelewa usisome kwa kukarir maswali ma formula..hyo rotation sasa na fluid,inshort mechanics ile yenyew ile ni ngum,sio mechanics za kulipua..nmesoma haya mambo miaka6 iliyopita,..na chuo kdogo
 
Physics ilikuwa Ngumu Pamoja na kwamba nilipata B sema labda kwakuwa nilikuwa naipenda ila kiukweli Topic Ngumu ya Physics ni ROTATION na PROJECTILE maana unaeza soma ukajikuta umeelewa kafanye swali sasa uonee Balaa lakee..Nipo chuo sasaa ila Nakumbuka Roger A89 A91 na A92 ni maswali ya Hatari ya Rotation niliowahi Kuyasolve...Daah Nkikumbuka Huwa Nafurahi saaana! Kwa Maumivu!
kama ni B ya physics 2007 salute kwako ila kama ni ya 2011 utakuwa ulizingua
 
Physics ndio somo nililokuwa nalisomaga kila siku ya mungu ktk maisha yng ya advance,nashukuru mungu kwani ndio somo nililofaulu zaidi kuliko masomo yote ya combi yangu ya PGM,mziki wa hili somo hakunaga aisee,shkamoo physics
 
Wave babaaa........tuna kule kwenye ma FRINGE SHIFT....asikwambie mtu yan nilijuta kwanm ckuchagua EGM
 
Kitu kigumu ambacho ata einstein alisiata kuchangia ni wave-particle duality....yani mwanga ni stream of partcles then ni wave

Hahaha wapi quantum mechsnics?
 
Physics ya advance ilikuwa ni ngumu sana kwangu asee topic karibu zote japo paper zilikuwa zinakuja simple
 
Hivi mlioendelea huko vyuoni Physics Huwa inaendelea kutesa.Wengine ilitutesa tukaishia njiani
huyo mleta maada anaongelea physics nyepesi ya advance chuoni haifai kabisa mfano quantum mechanics utakutana na vitu vya ajabu mno kama solutions of schrodinger equation(humo kuna normalization,eugen functions,expectation values, probability radial wave functions of hydrogen and hydrogen like atoms) mtu wa PCB aliyesoma bam atalamba sakafu tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom