Top Six Hardest Physics Topics Ever...

Jambazi

JF-Expert Member
Jan 18, 2014
16,644
18,707
1. Electromagnetism:

*It look time and patience to learn this properly, and even then, I'm confused when to use the left-hand rule. But it's more interesting than other topic definitely

2. Quantum-Mechanic:
*Dear Quantum Mechanic, I don't love you, but why you love me...?

3. Projectile Motion:

4. Relative Velocity:
*This is Sub-topic of moderm physics subject. I am very-very hard to understand it clearly. I need more information abaut this topic..

5. Rocket Science
*
6. General Relativity.
*It is very interesting topic to learn, but also very confusing at time...

Dondosha topic zako hapa ngumu ulizo pitia ukiwa O level, A level au chuo karibuni
 
Niliwahi kujitolea kufundisha kashule flani kipindi kile niko likizo ya chuo. Wale wanafunzi niliowapa mtihani wa Phyiscs walikuwa wamepigwa na butwaa, nashangaa darasa zima hawaandiki. Basi nikatoka nje ili waigiliziane ila napo wakawa hawana cha kuandika na two days ago nilitoa review questions ambapo mtihani nilitoa humo humo. Nikajionea kweli fizikia ni ngumu. Kesho yake kwenda ofisini nikakuta mwalimu kawajazia ma A wanafunzi wa darasa jingine. Na mimi nilichofanya nikawa nasahihisha concepts tu. Ilibidi niwaongezee max 50 wanafunzi on top ya kusahihisha concept ili angalau wa kwanza apate 82. Basi niliondoka kwenye ile shule baada ya likizo kuisha ila nilijua kabisa wale wanafunzi NECTA hawatoboi!
 
kumbe tichas huwa wanawaridhisha tu wanafunzi wao kwa kuwapa maxi nyingi
 
Phyz bana!!

Kawaulizeni Mgote, Moody Physics watawapeni jibu.

Cc: Nelkon, Roger, Chand, Understanding physics....
 
Astronomy na mambo ya space,time ni shida mnooo kuyaelewa.Yanahitaji ubongo unaoozunguka haraka sana kibongo bongo
 
Niels Bohr alisema ukifikiri umeielewa Quantum Physics, ujue hujaielewa.

String theory kui test unahitaji a particle accelerator as big as the solar system

Chaos theory is pretty interesting.

Mengine yote kwangu ni detail.
 
Km Wangesema Nitoe Rank Ya Ugumu Wa Comb 10 Kwa Mtazamo Wangu: 1.PCM 2.PCB 3.CBA 4.PGM 5.CBG 6.CBN 7.EGM 8.ECA 9.KLF 10.HGE.
 
Aisee hakuna topic ngumu kama Magnetism na Electromagnetism. Ni topic zinazobeba vitu vingi sana ndani yake.

From partial derivatves to Vectors, integrations to differential equations, bado hapohapo utakutana na mechanics ndani ya magnetism, bado sasa concepts na imaginations ambazo kikawaida huwezi zidhania. Ni part ya physics ambayo ni korofi sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom