Top Kenyan blogs,websites ,forums n.k

Status
Not open for further replies.

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,111
115,906
tukiwa tupo kwenye eac community.....

kwa kupitia internet tutaweza ku engage na wenzetu better....

sasa kama kuna mtu anaweza hapa nitajia top kenyan websites,blogs,forums n.k

pia na uganda,rwanda,burundi ,nk...
 
mashada sidhani ipo kwenye list, imefulia hiyo, before 2007 ilikuwa bomba sana, debates zilikuwa za utu uzima lakini wakati wa kura ya 2007, kwa kuwa hii forum ilikuwa na watu wengi wa ODM ni kama JF na Chadema, serikali ikaleta trolls walio haribu mashada forum kabisa, walikuwa wanaharibu credibility ya hiyo forum kwa kupost vitu vya kikabila na kureply post wakitumia matusi.. This led to the exodus and finally the 'death' of mashada forum as we knew it. jukwaa is coming up
 
Kenya wao hawana blogs za kitaifa. Blogu zao ni za kikabila mfano blogu maarufu kwa Wa-Jaluo wa Kenya ni kwa kubofya (click) hapa: Jaluo Jaluo na kwa Wakikuyu ni blogu zao zinapatikana Misterseed.com - A Community Website na makabila mengine ya Kenya pia wana blogu za kilugha chao.

Hawa watani wetu wameenda mbali hata wana vituo vya redio na television kibao za kikabila, hivyo hakuna kitu kama 'top Kenyan blogs' bali ni blogs za makabila mbalimbali ya Kenya ndiyo unaweza kusema zinapatikana kwa sana Kenya.
 
Hizo blogu, radio na TV za kilugha za makabila ndizo zitatumika kusambaza chuki miongozi mwao wakianza kuchinjana.....kama ilivyokuwa Rwanda...na Burundi....
 
mashada sidhani ipo kwenye list, imefulia hiyo, before 2007 ilikuwa bomba sana, debates zilikuwa za utu uzima lakini wakati wa kura ya 2007, kwa kuwa hii forum ilikuwa na watu wengi wa ODM ni kama JF na Chadema, serikali ikaleta trolls walio haribu mashada forum kabisa, walikuwa wanaharibu credibility ya hiyo forum kwa kupost vitu vya kikabila na kureply post wakitumia matusi.. This led to the exodus and finally the 'death' of mashada forum as we knew it. jukwaa is coming up

Nani kakwambia JF ni ya CHADEMA? Wacha unoko wako hapa kuna Watanzania wengi tu ambao wapo hapa kama mimi ambao sio wanachama wa chama chochote.

Then hiyo EAC ni ya kuiua kifo cha mende, kama hawaoni wanachojenga kwenye nchi zao watawezaje kujenga kwenye EAC?
 
Go eat something you troll
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom