Tunaangalia vigezo, nguzo tano za hiphopAisee mbona mmemsahau Imam Abass na Balozi
Hao kina stereo mnaowataja wanamzd nn mtu km imam abass,,Tunaangalia vigezo, nguzo tano za hiphop
Nash mcNASH MC a.k.a zuzu huyu jamaa ndio King hip hop hapa Bongo Tabia maswal waki waki zimaaaa utaelewa hip hop nn
MwanaFA na AY toa kwenye top 5 labda wawepo top 201.Nikki mbishi
2.Fid q
3.Mwana FA
4.Ngwea
5.Ay
No.1 na 5 nakubaliana na wewe 1001.nikimbishi
2.sterio
3.one incredible
4.nash mc
5.chidibenzi
Duh,hii ni dharauKala Jeremiah
1. Fid Q
2. Nash Mc
3. Sterio (Aliyekuwa Tamaduni Muzik na si huyu wasasa ambaye kachakachuliwa na AY)
4. Jay Moo
5. Songa
NB: Special Mention: one, jcb na p the mc
nipeni wasaanii japo watano wakali wa hiphop tz. kwa wadau 2 mi cmjui ney wa mitego