Top hiphop artists in Tanzania

Top hiphop artists in Tanzania

1.Albert mangwair (rip) huyu namkubali hadi kesho .
2.Godzilla ni balaa everybody know.
3.Nikki mbishi hahahaaa huyu jamaa anajijua mwenyewe.
4. Young daresalama anajua sana huyu
5. Young killer Msodoki

usiniambie kama unamsikiliza nikki mbishi ?
 
Fid Q
Songa
Stereo
One
Young Killer

Hao wengine kina mbishi wanaigiza tu na wengine umaarufu umewabeba.
 
usiniambie kama unamsikiliza nikki mbishi ?

Mdogo angu aliniambukiza eti nisiwe nasikiliza nyimbo mchele mchele asa malcom nani anamdiss hahaahaaaa yule kama hataki vile ila ndio alivyo
 
Mdogo angu aliniambukiza eti nisiwe nasikiliza nyimbo mchele mchele asa malcom nani anamdiss hahaahaaaa yule kama hataki vile ila ndio alivyo

Malcolm ni mwanae wa kwanza ndio maana anajulikana kama baba Malcolm
Huyu jamaa mara ya kwanza namkuta coco beach kwenye mashindano ya freeystyle
nusu faninal wanakuwa wapo watatu nikki mbishi Godzilla na lusajo Godzilla anashushwa anabaki nikki mbishi na lusajo
hapo nikki mbishi anashushwa mshindi anakuwa lusajo ila kwa punchlines alikuwa yupo njema mara nikamsikia clouds mashindano ya freeystyle tena hapo anashinda
tangu siku hiyo hajarudi nyuma

kama hujaisikiliza Nyakati za mashaka ft grace matata utakuwa umekosa kitu
 
1.Albert mangwair (rip) huyu namkubali hadi kesho .
2.Godzilla ni balaa everybody know.
3.Nikki mbishi hahahaaa huyu jamaa anajijua mwenyewe.
4. Young daresalama anajua sana huyu
5. Young killer Msodoki
Young kila msodoki sio namba moja kweli, alafu young D (young dar es salaama) hawa watoto ni balaa alafu wanachana effortless hawatumii nguvu
 
Prof Jay
Jay moe
Afande sele
Solo Thang
II Proud
*JCB* Nimeshindwa kumwacha.
 
Hao jamaa ni kwiki, hasa huyo one the incredible ila tatizo ni kwamba hip hop haiuzi
 
Back
Top Bottom