Jay z,kanye,Wayne,rick,nas,[/QUO
Nampenda Kanye, ni nadra sana kupitisha sku sijasikiliza wimbo wake hata mmoja, namheshim Jigga, Nas etc. but slim shady ni balaa. as am typing nipo nasikiliza "bad guy" na "Game of love" aliofanya na Kendrik lamar. Eminem ni habari nyingine.